Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!
Jake, Nick, Peter, na wachezaji wengine FC Mezzi sasa wapo ligi kuu . kasi yao ni ya haraka, mashambulizi yao hayana mpangilio, na michezo inaonekana kuwa migumu zaidi kuliko hapo awali. Zaidi ya hayo, Nick na Zlatan wanagombana, na ikiwa hawatacheza kama timu, hawatakuwa na nafasi ya kushinda ligi. Je, Jake, ambaye ni nahodha, anaweza kufanya lolote kuhusu hilo? Na vipi kuhusu Ursula na Zlatan? Wanashirikiana?
FC Mezzi
Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana!
Jake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo.
Mfululizo huu unahusu kufurahia michezo!
Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.
Editeur : Saga Egmont International
Publication : 27 août 2019
Intérieur : Noir & blanc
Support(s) : Livre numérique eBook [ePub]
Contenu(s) : ePub
Protection(s) : Marquage social (ePub)
Taille(s) : 71,7 ko (ePub)
Langue(s) : Swahili
EAN13 Livre numérique eBook [ePub] : 9788726254662
7,99 € 2,99 €
7,99 € 6,99 €